Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2014

Lyrics

Juu Yake - Tumaini Choir - Shangilieni

...

basi shiriki pamoja na sisi kuabudu, tunapo imba pamoja

hakikisha unapokea ile nguvu, roho mtakatifu huko mahali hapa, sema roho mtakatifu yuko mahali hapa( roho mtakatifu yuko mahali hapa)

wangapi wako tayari kumpokea roho mtakatifu.

(Natumaii )Natumai natumai(Natumai)

Natumai natumai kwake tu. ( we ni Mungu baba)

Natumai natumai ( Natumaini jina lako)

natumai natumai natumai kwake tuu


( juu yake ) Juu yake langu shaka,

Yesu namuwekea

Nami sitafedheka,

Nikimtegemea.

(Natumai) Natumai Natumai ( Natumain Jina lako)

Natumai kwake tu;( Wewe ni Mungu wangu)

Natumai natumai

Natumai kwake tu.



( Juu yako Yesu) Juu yake dhambi zangu;

Aniosha kwa damu;

Nionakane kwa Mungu

nisye na laumu.

(Naatumaii) natumai natumai,(Natumaini kwako Yesu)

Natumai kwake tu(Mimi natumai)

Natumai natumai ( Natumaii oooh! ooh!)

Natumai kwake tu


Juu yake yangu hofu;

kwake nimetulia;

sipotei kwa upofu

Njia aning'azi

(Natumai) Natumai natumai (natumai jina lako Yesu)

natumai kwake tu;(sitaogopa kitu chochote)

Natumai natumai

Natumai kwake tu.

Nijapo pita katika bonde la uvuli wa mauti, Yeye mungu yuko pamoja na mimi.

Nijapo pita kwenye garika , hakika maji hayata ni furikia kwa sababu jina lake liko pamoja mimi. Nijapo pita kwenye Tanuru ya moto sitateketea sababu Mungu yupo pamoja nami.Jina lake lipo kwa ajili yangu , Jina kuu, ameniinua kutoka chini hadi juu Kwa ajili ya jina lake, Yeye mwenyewe ainuliwe.

Juu yake, Moyo wangu;

Hali yangu na mali,

Mimi wake, yeye wangu(mimi wake , yeye wangu)

Twapasana kamili.

(Natumai) Natumai natumai,

Natumai kwake tu;

Natumai natumai

Natumai kwake tu

(Nijapo pita katika bonde la uvuli wa mauti gongo lake na fimbo yako vanifariji nami nitaka nyumbani mwako nilisifu jina nana nana

ooh ooh naa naa natumai natumaini damu yako Yesu natumaini jina lako siogopi majaribu natumaini.Nijapopita katika mateso na hatari mimi natumaiiiii naa naa naa natumai aaah katika shida majatibuni ooh natumai kwake tuu oooh Yesu. Ayubu alipita katika mateso watoto wake walikufa Ndugu zake walimkimbia wakamuacha lakini alikutumaini Mungu akashinda japo mali zake zilikwisha.

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status