Kimbilio Langu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmhh,
Ooohh Yeyehh
Ooohh yeyeyhh
It's Richard again
Mmmh
Ohh nonoohh
Sasa hivi mimi nipo huru
Hata kutangaza injili yako
Maana niliwekwa wa mwisho
Hivi mimi ni wa kwanza kwako
Nili katishwa tamaa
Majina mabaya yote nili pewa mimi
Nilipo kosa mwelekeo
Yesu wewe uliniongoza
Nikimbilie kwa nani
Kimbilio langu ni wewe
Nikeshe niki muomba nani
Msaada wangu ni wewe
Walitaka nipotee
Lakini uka simama na mimi
Walikesha kubeza mje
Mwenyewe ulinipa moyo
Kimbilio langu ni wewe Yesu
Rafiki wangu wa karibu
Hakuna mwingine kama wewe
Milele Unikumbatie
Milele usi niachie
Mimi wako na we ni wangu
Ume ni hinuwa wewe
Hapa nilipo nina cheka
Uli wahumbua wale
Wabaya walio nichukia mimi
Nina jipandisha bega
Maana nimetoka mateka
Kimbilio langu ni wewe Messiah
Msaada wangu ni wewe elohim
Bwana kwa upendo wako
Nanyenyekea mezani pako
Wanatamani nisinge zaliwa mimi
Wanahiona chungu dunia hahah
Maana wewe umekuwa kuta
La mahaduhi wangu
Wanapo jaribu kunishusha
Wewe Una nipandisha juu
Nikimbilie kwa nani
Kimbilio langu ni wewe
Nikeshe niki muomba nani
Msaada wangu ni wewe
Walitaka nipotee
Lakini uka simama na mimi
Walikesha kubeza mje
Mwenyewe ulinipa moyo
AahhhaHaah
Kimbilio langu
Kimbilio langu ni wewe Yesu
Rafiki wangu wa karibu
Hakuna mwingine kama wewe
Milele nikumbatie
Milele usi niachie
Mimi wako na we ni wangu