Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2013

Lyrics

Kekundu - AIC Makongoro Vijana Choir

...



(Angalia huku)


[Beats]


Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa,

Tena ni jambo lenye thamani,

Bali wapumpavu huidharau hekima hii wanahangaika.


Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa,

Tena ni jambo lenye thamaniiii..


Ooh wajinga ndio waliwao

(wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwao mama (wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwaooooo..


Mtu mmoja alilipwa malipo ya uzeeni , akafurahi Sana.

Wakati anarudi nyumbani kwake alikutana na jeshi la Shetani.

Wakamwambia lete pesa tuizalishe, uwe na pesa nyingi

nae pasipo kufikiri kwa Nini hawa wasizalishe zao,

Aliwahesabia pesa zote Matapeli hao wakamwacha pekee


Alisubiri akachoka , mwishowe akagundua

Amekwisha ibiwa


Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)  


Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)


[Beats]


Ooh wajinga ndio waliwao

(wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwao mama (wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwaoooo...


Alikuwepo mama mmoja alitafuta dawa,

apendwe na mmewe.

Alileta mizizi hiyo nyumbani

na kumwekea

mmewe kwenye chai.

Tumaini la mama yule mumewe sasa atampenda sana

Laiti Kama angejua kuwa

Upendo

unatoka kwa Yesu

Usiku ulifika Bwana yule akawa tabani

Mpaka akakata roho

Mama yule aligundua kuwa

Haikuwa dawa ,

ilikuwa ni sumu.


Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)


[Beats]


Ooh wajinga ndio waliwao

(wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwao mama (wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwaoooo..


Mtu mwingine na uzombi wake alinichanganya

Kupigiwa ramli

aliketishwa katika kigoda na elimu take

Akitaka ukubwa

Na kwa kuwa moyoni mwake Yesu hayumo

Hakujua chochote

Laiti Kama angejua

Mganga wake hata shule hakwenda

Alipa pesa kisha akavalishwa ilizi kubwa

Eti apande cheo

Matokeo akafukuzwa kazi siku sio nyingi

Mambo yaligeuka

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Shetani kekundu (kekundu).


[Beats]


Ooh wajinga ndio waliwao

(wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwao mama (wajinga ndio waliwao)

Ooh wajinga ndio waliwaooo...


Binti mmoja Alidhani yakuwa kapata

Kumbe kapatikana

Alikataa wachumba wengi

Waliokuja kuposa

eti ni maskini

Hayawi hayawi yakawa

Alimpata aliyemtafuta

Alimpata mwenye pesa wakaoana

Maisha yakaanza

Vituko vilianza kupishana siku hata siku

Mambo yaligeuka

Dada yule aliona ni afadhali aliyekufa

Asiutese moyo

Kekundu sipende pesa (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)

Kekundu kekundu (kekundu)


Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa

Tena ni jambo lenye thamani

Bali wapumpavu huidharau hekima hii

wanahangaika

Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa

Tena ni jambo lenye thamani

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status