Wewe Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Wewe - Ommy Flavour
...
Siwezi kuficha mradhi ukweli nakuambia,
Nakuweka wazi tena zingatia,
Ushanchomq na kibanzi yote nipo radhi we! i love you
Kukucheat me siwezi basi nawe tulia,
Manoti na visent nitakupatia,
Nimqchotaka unihenzi kwa mahaba na mapenzi niridhike
Izo kamati za washenzi baby,
Kutuharibia penzi baby
Kutengana mwiko,
Sisi bado tupo oyeeeh!
Hawajui penzi letu lipo moto,
Linavyowaka sio kitoto
Nasema hawatuwezii (baby)
Napenda unavyoweza changamoto,
Hujali hata tukishindia makoko
Kipenzii kwaajilo yako am ready (oh yeh)
Wewe weeh, wewe weeh
Wewe weeh (baby i love you)
Wewe wee,weweweeh
Wewe weweeh (baby i love you)
Tena ni mzuri mashallah,
Unapendeza baby mah
Furaha yangu ni we wewe baby ni we weweh
Nasali namuomba rabbana
Iwe usiku iwe mchana
Atulinde me na wewe me na weweeh
Izo kamati za washenzi baby,
Kutuharibia penzi baby
Kutengana mwiko,
Sisi bado tupo oyeeeh!
Hawajui penzi letu lipo moto,
Linavyowaka sio kitoto
Nasema hawatuwezii (baby)
Napenda unavyoweza changamoto,
Hujali hata tukishindia makoko
Kipenzii kwaajilo yako am ready (oh yeh)
Wewe weeh, wewe weeh
Wewe weeh (baby i love you)
Wewe wee,weweweeh
Wewe weweeh (baby i love you)