Bila Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Bila Wewe mimi sitaweza
Nitaanguka na sitasimama Tena
Mkono wako usiponishika
Hakika mimi nimepotea
Bila Wewe mimi sitaweza
Nitaanguka na sitasimama Tena
Mkono wako usiponishika
Hakika mimi nimepotea
Nishikilie
Ngome ya Maisha yangu
Uwe na mimi siku za uhai wangu
Na maadui wanitesa
Na dhambi zangu nazo zimenilemea
Mkono wako usiponishika
Hakika mimi nimepotea
Nishikilie
Ngome ya Maisha yangu
Uwe na mimi siku za uhai wangu
Tushikilie
Ngome ya Maisha yetu
Uwe na sisi siku za uhai wetu
Tushikilie