Sai Sai Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kama glass tunagonganisha sai sai Kama wada tunafwatanisha sai sai Kama mzuka tunapagawisha sai sai
Kama glass tunagonganisha sai sai Kama wada tunafwatanisha sai sai Kama mzuka tunapagawisha sai
Kama si sai sidai
Kama ni mboi sivai
Kama naseti ni ngwai
Fom za badae sidai
Kama ni sai ni sai
Naitaka saii saii
Makali napiga ka chai
Sina deni ndio ninajidai
Ziko wapi mariz walai plug anafika tu sai
Sai zimeshika design munchies tu ndio mi nadai Saisa ulianza roga lini ? Sai sai sai sai
Saisa utajaomoka lini sai sai sai sai
Kama kufanya nafanya ka Mimi
Sijali ni Nini unasema nani
Kama ni kuja miujiza ka jini
Ninawakanyaga ka nyasi nani
Shawty mwenyewe ni peng
Doba ni Kali inabang
Nawanyuria na swaaag
Bado nastack the bag
Kama glass tunagonganisha sai sai Kama wada tunafwatanisha sai sai Kama mzuka tunapagawisha sai sai
Kama glass tunagonganisha sai sai Kama wada tunafwatanisha sai sai Kama mzuka tunapagawisha sai
Nimedondoka mat donda utiaji
Na ni ka Ako maji ama tu ni mrazi Mbogi inangoja nifike sai
Ju Mboka imevai tuipige sai
Jam pia imeshika walai
Naona ni senke itadai sai
Sai sai sai sai
Robo dakika nafika sai
Nimejipin Jaba na steam
Mavela kibao nimejaza Kwa tin Mali ni fiti kitu legit
Shukisha curtain safisha scene Rada ni clean
Wasoro wamedim
Me and my team
We in it to win
Shawty mwenyewe ni peng Doba ni Kali inabang Nawanyuria na swaaag Bado nastack the bag
Kama glass tunagonganisha sai sai Kama wada tunafwatanisha sai sai Kama mzuka tunapagawisha sai sai
Kama glass tunagonganisha sai sai Kama wada tunafwatanisha sai sai Kama mzuka tunapagawisha sai