Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Form ni trap na zote niko ndani (Krr)

Jina inazoza kila mahali (whooa whooa)

Bulletproof they call me tha ardy (skrr skrr)

Peek a boo missioni ni gani (yeah )

Magiz nazoza rende (puua)

Si ndio tunawinda manjege(krr pa)

Mambling nmepiga kaa 7(bling)

Brace nimechafua 11(ice ice)


Form ni trap na zote niko ndani (Krrr)

Jina inazoza kila mahali (whooa whooa)

Bulletproof they call me tha ardy (skrr skrr)

Peek a boo missioni ni gani (yeah )

Magiz nazoza rende (puua)

Si ndio tunawinda manjege(krr pa)

Mambling nmepiga kaa 7(bling)

Brace nimechafua 11 (ice ice)


Dollar ikishuka nafufua pounds

Napunch line nazileta na rounds

Toka net fika kwa grounds

Wanakumilk we ndio cow

Hakuna king anaeza fanya bow

Wengi walitry nikawashow nina crown

Sahii niko ndani nafufua mathao

Daily naongeza crowd

Mziki naifanya bila kudoubt

Wengi walizama wakisaka clout

Wakidiss mabazenga

Wakasahau si ndio wahenga

Nakuschool bado we mtoto

betting shinda lotto

Huku usiwakishe moto

Nishazoea kuchoma photo

Niko wanted namanga

Ngori tuliwakanda kiwakanda

Sijailalisha blanda

Liquor store sio wines

Bling zinawaka kaa ice

Saa sita me ndio narise

Kama wesley me ndio snipes

Usinimention ka ni ngori nitakubaki

Shang buda iko taki


Form ni trap na zote niko ndani (Krrr)

Jina inazoza kila mahali (whooa whooa)

Bulletproof they call me tha ardy (skrr skrr)

Peek a boo missioni ni gani (yeah )

Magiz nazoza rende (puua)

Si ndio tunawinda manjege(krr pa)

Mambling nmepiga kaa 7(bling)

Brace nimechafua 11 (ice ice)


Form ni trap na zote niko ndani (Krrr)

Jina inazoza kila mahali (whooa whooa)

Bulletproof they call me tha ardy (skrr skrr)

Peek a boo missioni ni gani (yeah )

Magiz nazoza rende (puua)

Si ndio tunawinda manjege(krr pa)

Mambling nmepiga kaa 7(bling)

Brace nimechafua 11 (ice ice)



Mlidishi hio vibe so hakuna tone

Nawalainsha katiba pitisha

Rada ni gani kuwatoka ndio njia

Hii slang hamwezi dandia

Sir God pekee ndio mi nafear

My time is near

Collabo itakua mamia

Kutoka tene me ni hard

That's why nafika kwa core


Kama Burna boy niko on the low

Bado kwa dark me nina glow

Me ni arrow yaani nikona bow

Ile masaa yaani me niko dooh

Luku ni safi expensive cologne

Huwezi trap kaa unategemea loan

Hizi sides si ni ma Don

Nawalipua kama jabong

Tunapiga mboka tunaepuka kusota

Nawakalia mtalia

Nifike sahara nishike ngamia

Me ni poacher me ni hunt hizo deer

Crate ni tatu nimejaza mabeer

Na pia na pia

Nikona pressure sio za peer

Nimekuja tu na nia

Eeey

It's the Gang Shit


Form ni trap na zote niko ndani (Krrr)

Jina inazoza kila mahali (whooa whooa)

Bulletproof they call me tha ardy (skrr skrr)

Peek a boo missioni ni gani (yeah )

Magiz nazoza rende (puua)

Si ndio tunawinda manjege(krr pa)

Mambling nmepiga kaa 7(bling)

Brace nimechafua 11 (ice ice)


Form ni trap na zote niko ndani (Krrr)

Jina inazoza kila mahali (whooa whooa)

Bulletproof they call me tha ardy (skrr skrr)

Peek a boo missioni ni gani (yeah )

Magiz nazoza rende (puua)

Si ndio tunawinda manjege(krr pa)

Mambling nmepiga kaa 7(bling)

Brace nimechafua 11 (ice ice)

More Lyrics from Gstr Music Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status