Fanya Utakalo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Fanya Utakalo - Sharara
...
Oyee mmmh oyeeeee oooo oooooeeee
Mmmmm mmmm
Aaaa eeee
Mocko,wakukaa vibarazani kuwaza mi penzi langu na ugumu wa sarafu
Hadhi ya mtumba yangu kapanga maulana wangu
Hukumbuki fadhila na ule wema wangu ukazijuwa siri zangu ukazichoma hisia zangu
Mmmmm
Na maumivu yangu hayana matibabu upole nishazoea hali yangu nimekosaga jawabu
Hali ya pendo langu ulinunuwa gharama gharamaaaa eee
Mm yarabi moyo wangu uuueee
Ohohohoooo (moyo naugulia)
Ohohohoooo(Na mimi nawewe majaliwa)
Ohohohoooo(Kipi kilipunguwa)
Ohohohoooo (Oooye onana)
Na mwenye sura umboo umekosa tabia manaa
Bafu langu dogo kuhimili makubwa sanaa aaa
Ulivyo nidhaliliii kiasi nikuchukie
Haiba imepotea farajaaa huruma basi nionee
Juwa we kwangu ndo dawa dawa
Ukiniacha sio sawa sawa nitajirudi nikikosea aaah unavyofanya sio fea
Juwa we kwangu ndo dawa dawa
Ukiniacha sio sawa sawa nitajirudi nikikosea aaah unavyofanya sio fea
Ohoohoooooo (haiyee yee )
Ohoohoooooo(Mama mamam mamama )loloolooloo
Ohoohoooooo (Umeniweka sanaa)
Ohoohoooooo (Mama mamam mamamma mama lolololooooo)
Aaah haaa haah mamaweee
Haiyee haiyeee mama nam
We fanya utakalo we utakalo sawa
We utakacho sawa (nimekubali)
Fanya utakalo we utakalo sawa(sijiwezi kwakoo)
Fanya utakalo we utakalo sawa we utakalo(hunitaki)
Fanya utakalo we utakalo we utakalo sawa ( fanya utakalo)
Aaaaaaahhhaa aaa
Aaa
Bebiiiiiioo
Mocko Genius