Acha Mishe Ziendelee Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
YA KIFALME
ZAXY OMANE
VERSE ONE
Sauti ya zaxy Omane
Ni sauti ya KIFALME
Naagiza bia nane zikiisha
Leta nyingine..
Ukiniona Niko tungi usiogope
Leta nyingine
Nikiwa na wanangu namwaga tu mapene
Sauti ya zaxy Omane
Ni sauti ya KIFALME
Naagiza bia nane zikiisha
Leta nyingine..
Ukiniona Niko tungi usiogope
Leta nyingine
Nikiwa na wanangu namwaga tu mapene
Nipe kipaza nitoe sauti niuwe mada
OYEAH!!
Shikwambi hawajakoma
wanadata na Zangu swager
OYEAH!!
Tukiwa kwa vita siraha yetu Dagger
OYEAH!!
Tukiwa kwa vita siraha yetu Dagger
EI!!!
Acha waige na HII
TUONE
Huku nabonga na Eazy
TUONE
Ngoma napenya na Hii
WAONE
Ngoma Kali natoa kwa Eazy
WAONE
Wajinga wana-post wamesahau pozi
Picha ka robots
Kanga na koti sa ndo style gani
Nakosa amani
KWANZA KWA NINI!!?
Mnataka shindana na Mimi,
Paka Shetwani, Kiti kavaliwa na jini
Mnataka nifanye yenu nyinyi
Ya kwangu yatafanywa na NANI!!?
Family ALLAH,
Bogus Blind Wana njaa
Namuachia JAH!
Sijui akigawa pengineh!
Itapunguza shida tujitume
Mtoto rudi shule ukasome
Mziki Shetwani kucheza uchizi
Tutafika wapi style hii!??
Ama tuige yakwao tuache ya kwetu?
BRIDGE
Hapana Pana bhana Jenga bomoa!
Ngwara faster kaba ukiomba
Ukiombaa wanatoa
Siraha police ukiomba wanatoa
Ukiomba wanatoa
Mikoba sikurithi ningeomba mngenipa??
Mnataka niongeze bidii!!!??
HEEEH!!
Hamtaki niwe Style hii!!!??
HEEEH!!
Amna nitoe nanii!!!??
HEEEH!!
Mpaka nimtoe naniii!!???
Sauti ya zaxy Omane, ni sauti ya Kifalme
Naagiza bia nane zikiisha leta nyingine
Ukiniona Niko Tung'
Ukiniona Niko Paah
Ukiniona Niko Aaaaah
Ukiniona Niko tungi usiogope.....
CHORUS
AAAOOOOHH!!! AAAEEEEEHH!!!
ACHA MISHE ZIENDELEE
AAAOOOOHH!!! AAAEEEEEHH!!!
ACHA MISHE ZIENDELEE
MUNGU BLESS MY WAY EVERY DAY
USINIACHE NIPOTEEEH!!
MONEY COME MY WAY MY WAY
USINIACHE NITEKETEEEH
VERSE TWO
Nawasilisha tu! Sitaki iwe vita
Mi ni rapa n'naetisha Popote napita
Ona wanashindwa kuji-contro
Hata wafanye zindiko no money no love
Zangu break napiga kwa dada zao
ZANGU BREAK NAPIGA KWA DADA ZAO
Wahuni hatulewi na mbege
Folklore ya bongo ni sengeri
Shikwambi wanadata na reggae
Huku wanachoshwa na zege EYY!
Run Running STOP
Fanya una roll STROKE
Huku unatupa VIATU
Money una-MAKE
MONEY UNA-MAKE
Brother and Sister TELL US
Michongo inakita WORK HARD
Kama ni VITA
KAMA NI VITA
MONEY UNA-MAKE
MONEY UNA-MAKE
BRIDGE
Hapana Pana bhana Jenga bomoa!
Ngwara faster kaba ukiomba
Ukiomba wanatoa
Siraha police ukiomba wanatoa!?
Mikoba sikurithi ningeomba mngenipa??
Mnataka niongeze bidii!!!??
HEEEH!!
Hamtaki niwe Style hii!!!??
HEEEH!!
Amna nitoe nanii!!!??
HEEEH!!
Mpaka nimtoe naniii!!???
Amna nitoe nanii!!!??
HEEEH!!
Mpaka nimtoe naniii!!???
Sauti ya zaxy Omane, ni sauti ya Kifalme
Naagiza bia nane zikiisha leta nyingine
Ukiniona Niko Tung'
Ukiniona Niko Paah
Ukiniona Niko Aaaaah
Ukiniona Niko tungi usiogope.....
CHORUS
AAAOOOOHH!!! AAAEEEEEHH!!!
ACHA MISHE ZIENDELEE
AAAOOOOHH!!! AAAEEEEEHH!!!
ACHA MISHE ZIENDELEE
MUNGU BLESS MY WAY EVERY DAY
USINIACHE NIPO TEEEH!!
MONEY COME MY WAY MY WAY
USINIACHE NITEKETEEEH
BRIDGE
Hapana Pana bhana Jenga bomoa!
Ngwara faster kaba ukiomba
Ukiomba wanatoa
Siraha police ukiomba wanatoa!?
Mikoba sikurithi ningeomba mngenipa??
Mnataka niongeze bidii!!?
YA KIFALME
MWISHO