ASANTE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Asante Asante
Nakushukuru Kwa Mema uliyotenda kwangu
Haufananishwi
Haulinganishwi
Wewe ni zaid ya Yeyote
Wewe ni Bwana mkubwa
You're the God of miracles
You have super natural Love
You'er majesty mediator my seviour
You're the God of miracles
You have super natural Love
You'er majesty mediator my seviour
Bwana wangu wewe
umenitendea mema yote
Umenikumbuka siku zote
Haujawahi kunisahau
Umenipa hatua Maarifa
Amani ya moyo wangu
Umenijibu katika mengi
Ambayo baba nimekuomba
Siwezi laumu katika yale
Ambayo mi nahisi hauja nijibu
Mana kuna mengi umenipa naamini Baba sikukuomba
Umenipa maarifa na akili ili kuendana na mazingira
Naiona kesho ya baraka ambayo Mungu umeniandalia
Asante Dady asante eeeh!
Asante Dady asante eeeh!
Nakushukuru nakushukuru
Asante Dady asante eeeh!
Asante Dady asante eeeh!
Kuna siku nilikaa pale nikalia Ukaniambia nyamaza Mwanangu
Hiki ni kipindi kinapita tu
Kuna mahali nimekuandalia
Katikati ya jua Kali
Ukafanyika kivuli
Ulinipa ushindi katikati ya adui zangu
Umenipa maisha Asante Baba
Dady God eeh shukurani zangu zifike mbinguni uliipo
Baba yangu usikie Mwanao nimekushukuru katika yoote
Dady God eeh shukurani zangu zifike mbinguni uliipo
Baba yangu usikie Mwanao nimekushukuru katika yoote
Asante Dady asante eeeh!
Asante Dady asante eeeh!
Nakushukuru kwa mema yote
Asante Dady asante eeeh!
Nakushukuru Elishadai Adonai Jehova
Asante Dady asante eeeh!
Haufananishwi
Haulinganishwi
Wewe ni zaid ya Yeyote
Wewe ni Bwana mkubwa