Tunapita Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
Kwasasa nime kua, nime wona mkono wa mungu
Wosasa nime kua, nime wona mkono wa mungu
Ukia ngaza maisha yangu
Kwasasa nime kua, nime wona mkono wa mungu
Ukia ngaza maisha yangu
Pinadamu waseme mengia kujivuna
Ilayupo mungu wanaichua samani yako
Uyuyesu, uyuyesu
Tunahishi kwa nema, tunahishi kwa nema yaki
Katika maisha ya usitafute kujulikana mbele za watu
Tafuta kujulikana kwake mungu
Tunahishi kwa nema, tunahishi kwa nema yaki
Tunahishi kwa nema, tunahishi kwa nema yaki
Tunahishi kwa nema
Mali hulolazo nizabure
Gari hulolazo nima pito
Nyumba hulolazo zinabita
Yote unaoyo
Nima pito, tunapita
Ya dunia
TUNAPITA ficholia
Tunabita
Nima pito jamani
Nima pito ye, ye, ye, ye
Baba na mama wamenilea mimi
Baba na mama wamenilea mimi
Iła ni zamu yake yesu
Tunapita
Baba na mama wamenilea mimi
Ila ni zamu yake yesu
Tunapita
Mali hulolazo nizabure
Gari hulolazo nima pito
Nyumba hulolazo zinabita
Yote huladyo nivenu nie
Nima pito
Nyumba hulolazo nima pito