Baby You Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Baby,We ndio wangu..Waangu.
Sweetie,Uhai wangu..Waangu.
Darling ,Roho yangu,..Yaangu
Baby, Umeziteka fikra zangu.
My baby,
Nikupeleke juu ama chini,
Si nakupenda tu kama nini
Je unapenda ugali kwa maini
Si we ndo kuku ,mi ndo chipsi
Wanauliza ni naaani..?
Ananilisha na nona
Wanauliza ni naaani..?
Ananifanya na vimba
Wanauliza ni naaani..?
Ananilisha na nona
Wanauliza ni naaani..?
Ananifanya na vimba
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Nakupenda wewe tu
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Siwezi bila wewe boo
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Nakupenda wewe tuuu.
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Siwezi bila wewe boo
Basi njoo,njoo ,njoo
Nikuringishe njoo,njoo njooo
Baby njoo,njoo njoo
Nikuonyeshe Njoo, njoo, njoo
Unanipa utamu sukari
Maisha bila wewe,sinoni silali
Mpenzi tumechumia juani
Kesho tunalia kivulini
Maneno hayawezi sisi kutupata
Kwa jinsi penzi lako mi nilivyo ngata
Kesho yetu ifane
Isiwe kama jan
I will (Boda -Boda ) x2
For your love Baby boo
I will (Water water)x2
Wanauliza ni naaani..?
Ananilisha na nona
Wanauliza ni naaani..?
Ananifanya na vimba
Wanauliza ni naaani..?
Ananilisha na nona
Wanauliza ni naaani..?
Ananifanya na vimba
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Nakupenda wewe tu
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Siwezi bila wewe boo
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Nakupenda wewe tuuu.
My baby.
You,.You,..Youuu,,
Siwezi bila wewe boo
Wanauliza ni naaani..?
Ananilisha na nona
Wanauliza ni naaani..?
Ananifanya na vimba