Wewe Ni Mwema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Wewe Ni Mwema - Israel Ezekia
...
Naja mbele zako,Mungu wangu
Nikiwa nazo heshimaaa zootee
Ninakiri yale uyatendayo
Hakika wewe ni Mwema
Repeat Chorus
wewe ni mwemaa,Haufananishwi
wewe ni mwemaa,Baba*2
Wewe ndiwe Baba wa mataifa
unatenda mambo ya ajabu
Ninakiri yale uyatendayo
Hakika wewe ni mwema*2
Back to chorus
Naja mbele zako Mungu wangu
Nikiwa nazo heshima zote
Ninakiri yale uyatendayo
Haaakikaaa wewe ni Mwemaaa