Naijulikane Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Naijulikane - Ruth Wamuyu
...
(STANZA 1)
Naijulikane wewe ni Mungu,
Naijulikane wewe waweza,
Naijulikane watenda mambo makuu,
Naijulikane duniani kote.
( STANZA 2)
Niko mbele zako miguuni mwako,
Nimenyenyekea nikutafute,
Mahitaji yangu ninakuletea,
Mizigo yote nakuwachia. *2
Chorus: Stanza 1
(STANZA 3)
Ninayo imani unayaweza,
Muweza yote unanitosha,
Musaidizi wakati kama huu,
Nakuamini nanyenyekea. *2
Chorus: Stanza 1