Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2017

Lyrics

Injili - Bro Dan Omondi

...

SOLO: Israeli….

ALL: Walikuwa wenye ujumbe ee….

SOLO: Hata hivyo,

ALL: Walikataa Injili ii... CHORUSx2

SOLO: Injili ikaenda

ALL: Kwa mataifa aa...

1.Asante Yesu...kwa kuja kwako oo...

Ulinipenda aa... ulinijali ii...

Ukaleta ujumbe, wa maneno matamu...

Ili viwete, watembee

Viziwi, wapate kusikiaa...

Nao vipofu, wapate kuona aa

Hata wafungwa, wawe huru uu...

CHORUSx2

2. Injili ni moto

Injili ni choma

Injili ni washa

Injili ni fire

Ikiwaka injili, wenye dhambi huokoka

Ikiwaka injili mapepo yatoroka

Ikiwaka injili, maadui hutishika

Ikiwaka injili, tunapona

Ikiwaka injili tunapata uzima

CHORUSx2

3.Injili niponye

Injili niguze

Injili nifariji

Injili niokoe

Injili niinue

Injili nibariki

nikomboe, nipate uzima aa...

CHORUSx2

4. Ndugu yangu nakuimiza aa..., Usichoke ee...

Kuenza injili ii..., Ya Bwana Yesu

Tueneze injili

Kwa pembe zotee... tuhuburi injili

Kwa watu wote

Kwani hilo ndilo jukumu

Tulilopewa

Wapende wasipende, injili litasimama

Wakatae wakubali injili, litahudumuu

Lakini vya dunia, ni mapito oo...

CHORUS×2

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status