HAUWEZI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Bahati ya kwangu huwezi kuzibaaa
(Hauwezi)
Amenipa Mungu wala sikuiba
B Hauwezi
Bahati ya kwangu Huwezi kuziba
(You crazy )
Amenipa Mungu wala sikuiba
(Anhaa B Hauwezi )
Hauwezi Hauwezi Hauwezi
Hauwezi kuziba
Kanipa maulana wala sikuiba
Oy oy oy oy oy yooaah
Kanipa maulana wala sikuiba
Ngoma zaidi ya album na Hewani haichezwi
Mtaani hit and the people go crazy
Merchandise zimegeuka jezi
And every chick tryna act so friendly
naumiza vichwa kwenzi
Na unadai trap na drill haiwezi
your shawry enyewe ,hyo flow ni sexy
Sijaamua kutisha mjenzi
Nikurudishe zama sikua na penny
Duka zimejaa madeni
Then tell me kama umekuwa mgeni
Au ndo new comer kwa foleni
I played hard to get here
You have never done much to get near
nimechange na ushanichenchia
Ni success ndo inarevenge
Sleepless night,cheapest rides, shameless juice na mikate bites
Done lost my mind,ngondi , jua la utosi simaind
Ilikuwa boss nimeforce grind ,look ni fine
Nimedesign,
Hii rap game nairedefine,bila cosign nimejisign
Hwaaaaaighhh
Hauwezi Hauwezi Hauwezi
Hauwezi kuziba
Kanipa maulana wala sikuiba
Oy oy oy oy oy yooaah
Kanipa maulana wala sikuiba
Hauwezi Hauwezi Hauwezi
Hauwezi kuziba
Kanipa maulana wala sikuiba
Oy oy oy oy oy yooaah
Kanipa maulana wala sikuiba
Mtatuubuu
KWA DHATI moyoni
Nitawashangaza kama hamnijuii
Kibishi mi naua
Na streets zinanijua
Kwa huuu Unyamweeziii
(On God)
Habari ndo hyo Ay FA
Young slime life YSL
I don't do try I EXCEL
Hizi styles mpya niwaletee
Sahau mabuda waliokuja kati kati wamefall apart CHINUA ACHEBE
Ngoma ililala nainua debe
Pilika pilika, sharp ka wembe
Ningoje vp mnihalalishe nawaka mtemba kama KIJENGE
Mi husimama sio mpaka nibebwe uliza my bebez SA SI HATARII
Mchaga akili za mali,nakimbiza deal za mbali
Sa si kabadi
Nikirudi ina di yard, nawapandisha midadi
Thats a party
Hauwezi Hauwezi Hauwezi
Hauwezi kuziba
Kanipa maulana wala sikuiba
Oy oy oy oy oy yooaah
Kanipa maulana wala sikuiba
Ey ey
Hauwezi Hauwezi Hauwezi
Hauwezi kuziba
Kanipa maulana wala sikuiba
Oy oy oy oy oy yooaah
Kanipa maulana wala sikuiba
ENYEWE SA SI SINDIOO WALE WANAMTEGEMEAGA JAH
ENYEWE IKIKATAA MZUKA
IKIKUBALI SA SI FRESH ENYEWE
Hauwezi
B Hauwezi
Oy oy oy oy yooh iyoo
Kanipa Maulana wala sikuiba