Loading...

Download
  • Genre:Pop
  • Year of Release:2023

Lyrics

We ni wa pekee kwenye dunia

Uzuri ulionao umepita mataifa

We ni wa pekee kwenye dunia

Nguvu uliyonayo imepita mataifa


Wakiuliza kwani nani ndie nguzo ya mfalme

Ni mimi

Wakiuliza nani hapa mwenye nguvu zaidi ya wote

Eeh…yeah

Wakisema hutoweza fika mbele waambie

Ni mimi

Ni mimi

Ni mimi

Ni mimi


Niliumbwa mia, mia

Nachogusa mia, mia

Nazidisha mia, mia

Nitabaki mia, mia

Niliumbwa mia, mia

Nachogusa mia, mia

Nazidisha mia, mia

Nitabaki mia, mia

Ah… eh heh…


Bado unaweza

Unaweza hakika

Kuvuka miamba waliyoweka

Yeah…

Badi unaweza

Unaweza hakika

Kuvuka vikwazo

Mbele yako


Wakiuliza kwani nani ndie nguzo ya mfalme

Ni mimi

Wakiuliza nani hapa mwenye nguvu zaidi ya wote

Eeh…yeah

Wakisema hutoweza fika mbele waambie

Ni mimi

Ni mimi

Ni mimi

Ni mimi


Niliumbwa mia, mia

Nachogusa mia, mia

Nazidisha mia, mia

Nitabaki mia, mia

Niliumbwa mia, mia

Nachogusa mia, mia

Nazidisha mia, mia

Nitabaki mia, mia

Ah… eh heh…


Wasichojua ni kwamba kings never die

Nimepewa ujasiri uoga ndo haunifai

Nisipofikia malengo uhalisia utanidai

Jitihada, maana mafanikio sio suti na tie

Usione niko so low, am focusing of course, cause

We don't really know tomorrow God namweka close, cause

Been doing a lot of shit zizojaa mikosi,

Na-face down don't trust none na hutoni-force

Dreams to reality

I got too much ability

Hawatuonei huruma wanatuonea macho isn't it

I keep it one hundred from my head down to my toes

And am never gonna give up hata yanitoke machozi

Sala-dua zinafanya mi stress sina

Walotuzika hawakujua si mbegu tutaota tena

Nyota njema nikiamka asubuhi mapema

Mindset ziko set ka chaneli za antenna

Tena hatupendwi na wote

Wapo wanaotaka utoke kimaisha na wapo wanaotaka maisha yakutoke,

Uwezo tumepewa wote

Tupambane tuu sote

Kati ya pesa na tatizo nani ummaliza mwenzake


Niliumbwa mia, mia

Nachogusa mia, mia

Nazidisha mia, mia

Nitabaki mia, mia

Niliumbwa mia, mia

Nachogusa mia, mia

Nazidisha mia, mia

Nitabaki mia, mia

Ah… eh heh…


Mia, mia

Yeah…

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status