Wapendezwa Na Mimi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wapendezwa Na Mimi
Wapendezwa na Mimi
Ewe Yesu wapendezwa na mimi
Wapendezwa na Mimi
Ewe Yesu wapendezwa na mimi
Ingawa ninakukosea
Na bado watimiza ndoto
Pengine ningekaa kimya
Nisingepitia misoto
Asante kwa kunikubali
Umenifanya wako mtoto
Sijatoa chochote kwako
Ili kuniumba nilivyo Ooh
Machozi yanitiririka ya furaha
Maana kama si wewe nisingefika
Sijawaza kuvuka hapa nilipo
Maana sikidhi vigezo
Mmmmh
Nikasikia sauti mwanangu nenda
Mimi nakukubali wewe
Hata dunia ikukatae wewe nenda
Mimi napendezwa na wewe
Wapendezwa Na Mimi
Wapendezwa na Mimi
Ewe Yesu wapendezwa na mimi
Wapendezwa na Mimi
Ewe Yesu wapendezwa na mimi
Ushindi wangu haukutarajiwa
Ni neema ni neema
Nguvu yangu ya kujitetea
Mimi sina mimi sina
Mtetezi wangu Yesu
Wanitetea wewe
Wanitetea we wanitetea we
Mtetezi wangu Yesu
Waniinua wewe
Waniinua we waniinua we
Ni wewe wa kunitetea
Machozi yanitiririka ya furaha
Maana kama si wewe nisingefika
Sijawaza kuvuka hapa nilipo
Maana sikidhi vigezo
Mmmmh
Nikasikia sauti mwanangu nenda
Mimi nakukubali wewe
Hata dunia ikukatae wewe nenda
Mimi napendezwa na wewe
Wapendezwa Na Mimi
Wapendezwa na Mimi
Ewe Yesu
Ewe Yesu
Ooh Oooh
Wapendezwa na mimi
Wapendezwa na Mimi
Wapendezwa Na Mimi
Ewe Yesu
Ewe Yesu
Oooh Ooh
Wapendezwa na mimi
Wapendezwa Na Mimi
Ooh
Eeeh
Aaah aaah aaah
Aaah aaah
Wapendezwa Na Mimi Eeeh