Mapenzi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapenzi - Volvoh
...
Juzi wengine wameuana
Wengine nao visu wamedungana
Mwenyezi Mungu baba
Yeye pekee ndo
Mwenye mahaba.
Kwanza, sifa zote nakupa baba
Maana, ulivyo viumba vyanibamba
Tena aah, nisipo shukuru ntakufuru
Eeenhwaa, milima mabonde kazi nzuri.
Na. Nikicheki ndege wa angani
Samaki baharini ae. Aea!
Na wanyama wote mbugani
Tabasamu lanijaza mie. aea!
Nikicheki ndege wa angani iii
Smaki baharini ae
Na wanyama wote mbugani
Tabasamu lanijaza mie.
Ukaumba mapenzi, mwenyezi.
Mapenzi yanakosesha raha
Ugomvi nyumbani hakuna amani
Mahaba yanatesa wengi more.
Ukaumba mapenzi, mwenyezi.
Mapenzi yanakosesha raha
Ugomvi nyumbani hakuna amani
Mahaba yanatesa wengi u oooh
Chorus
Ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
Nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
Ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
Nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
Kama juzi nlipitaga nkaskia wegine wanagombana.
Eti kisa amemshikaga na mwengine
Mate wamepigana
Juzi wengine wameuana
Wengine nao visu wamedungana
Mwenyezi Mungu baba
Yeye pekee ndo
Mwenye mahaba
Ukaumba mapenzi, mwenyezi.
Mapenzi yanakosesha raha
Ugomvi nyumbani hakuna amani
Mahaba yanatesa wengi more.
Ukaumba mapenzi, mwenyezi.
Mapenzi yanakosesha raha
Ugomvi nyumbani hakuna amani
Mahaba yanatesa wengi more oooh
Chorus
Ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
Nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
Ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
Nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
Chorus
Ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
Nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi
Ooh mapenzi, mapenzi unatesa kwanini
Nalia mapenzi hakuna unae saza hata bibi