Boots Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Block 19
Wanangoja tuhang ma boots, shit kwa ground tumeichimbia roots
Ma ofisi kadhaa tunarun bado hatujaanza kungara ma suits
Of late tumestick kwa fam unamake sure ground ni firm
Hapa left nacheki my dudes, na wako ready kutake over hood

Ka unakanyanga manze ebu step
Wale wareal hatujai wa loose
Time ndio hakuna, ya kuright ma wrong
Told you nicall na inakuanga rare
Journey ni long hukua prepared
Rde or die tulibaki ku dare
Hot persuit kaza mshipi tu race na life
Ukicheki the past unapoteza time
Numero uno hapo kwa goal nimeshika doria
Budako anafeel kunivulia topa naifanya one man army Solo Sobber na bado inatokea proper
Napoteza mabeshte nipate amani na kwangu hio deal hio deal ni fair
Daily my nigga na take the risk
Mahali imefika na stake hata life
Naifanya saa hii juu kwa hakika
Sina hakika ka kesho ntarauka
Early bird na nataka the worm
Bad energy stay far away
Mahali nmetoka ndio ina force
Daily kwa Sir jah napiga magoti
Matha anangoja nijenge ka ploti
But for now smile toka kwake inakuanga imetosha
Hunipati kwa party hailipi ma bill kaa hakuna noti hunipati for real
Kabla kwanza nitokee scene deal kwa paper ikue tu clean