Nitume Mimi Bwana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nitume Mimi Bwana - Kwaya Ya Familia Takatifu Tunduma
...
...
mungu wangu mwema,unaniita njoo,njoo,mwanangu
ntangaze neno,nihubiri,kwa mataifa yote.
CHORUS x2
Mimi hapa nimeitika wito,nitume mungu wangu
(nitangaze) nikatangaze neno,kwa mataifa yote
...
nikawakomboe watu waliokataa waliokata Tama,
niwahubirie,utukufu,utukufu wa bwana.
CHORUS X2
Mimi hapa nimeitika wito,nitume mungu wangu
(nitangaze) nikatangaze neno,kwa mataifa yote .
...
wakakusikie waokolewe tokaa utumwani walipo,
waje kwako YESU,wakuone,wakusifu daima.
CHORUS X4
Mimi hapa nimeitika wito,nitume mungu wangu
(nitangaze) nikatangaze neno,kwa mataifa yote .
...