Kaza Moyo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Kaza Moyo - Msondo Ngoma Music Band
...
msondo ngoma music band
nitakaza moyo duniani
walimwengu wanavyotaka tukaze moyoo
yarabby Mola nilinde
nitakaza moyo duniani
walimwengu wanavyotaka tukaze moyoo
(Kama lleo nmekwenda kazini kwangu weeh
boss Sasa hatak kuniona kabisaaa x2)
(niliporudi nyumbani mama watoto kanuna
kwa7bu ymaneno ya majirani jaman
kuchunguza kwa makini Ni walewale binadamu eeh x2)
mama Bella
msondo ngoma ya watanzania
(nitakaza moyo hapa duniani
niwashinde wafitini
oooh Mola nilinde oooh nisaidie
naenda kazin Mambo Moto narudi nyumbani wamewasha Moto
pale masikani ninapoishi hakuna amani kimebaki Shari eeh x2)
(nitakaza moyo hapa duniani
niwashinde wafitini
oooh Mola nilinde oooh nisaidie
binadamu wengi hawapendi kuwaona wenzaoo
wakipata mafanikio ya kimaisha
babaa Natasha
Mara watasema amefanya hivi na wengine watadai chuwaa amefanya vilee
ili mradi waharibu jina lake na sifa yakeee
binadamu were tupendaneee x2)
(nitakaza moyo hapa duniani
niwashinde wafitini oooh Mola nilinde oooh nisaidie
(walimwengu ndivyo tulivyo hapa dunianiii
haya Mambo yalikuwepo toka enzi za mababu
yakitokea Mambo Kama hayo usishangae
yakitokea Mambo Kama hayo uvumulie
nitakaza moyo hapa duniani
niwashinde wafitini
oooh Milla nilinde oooh nisaidie x2) ooh Mola nilinde ooh nisaidie
wote tunasema msondo kiboko yaoooo
Nani anabishaaaaa
sisi site tunasema msondo kiboko yaoooo
haya twendeeeee
kidogo tuuu haya twendeeeee
watawezaaaa??