Kinanda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kinanda - Mesen Selekta
...
Nimekuvisha gwanda nimekuita kamanda
Unafight kwa love wale pale washasanda
Nipe mama nipe mama tujenge kiwanda
Tutoe pombe zote hata wine ya kitanga
Me najua kwamba wanaconcetrate
Nikikuacha watakunegotiate
Kwako wamengoja sana kuinishiet
Lengo lao kubwa ni kupenetrate
Mmmh,uje nikubebe mgongoni,ma dear
Tucheze michezo ya utotoni,ma dear
Kwa furaha untazamapo machoni,ma dear
oyaaaa
oya
oyaaa,aisee aisee
Kinanda,mtoto sauti laini
Kinanda,ya kutoa nyoka pangoni
Kinanda,usiombe akiwa ndani
Kinanda,kama ndege mwituni
Kinanda,ooh
Kinanda,oooh
Kinanda,ooh
Kinanda,oooh
Tupa shuka(tupa shuka)uje kunikanda
Hebu shika panga uje ulime shamba
Sing for me sing a song we kinanda
Ukichoka sana jilaze kwenye kibanda
Ulivyojinogesha usoni
Umewafunga midomo
Utamu wa lips zako show me
Njoo tushikane mikono(2)
(umenibamba aisee)
Uje nikubebe mgongoni,ma dear
Tucheze michezo ya utotoni,ma dear
Kwa furaha untazamapo machoni,ma dear
mhh,
oyaa,oya,oyaaa
Aisee,aisee
Kinanda,mtoto sauti laini
Kinanda,ya kutoa nyoka pangoni
Kinanda,usiombe akiwa ndani
Kinanda,kama ndege mwituni
Kinanda,ooh
Kinanda,oooh
Kinanda,ooh
Kinanda,oooh
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko.
written by @gracee_tyno