Nimeona Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimeona yale Baba umefanya
Ninainama nikuabudu
Nimeona yale Baba amefanya
Ninainama nimuabudu
Nimeona yale Yesu amefanya
Ninainama nimuabudu
Nimeona yale Baba amefanya
Ninainama nimuabudu
Nimeona yale Yesu amefanya
Ninainama nimuabudu
Ni yepi Mungu amekutendea?
Ni yepi Mungu amekufanyia?
Na kama bado, ungana nami
Siku yako yaja hutatendewa
Ni yepi Baba amekufanyia?
Ni yepi Yesu amekutendea?
Na kama bado usife moyo
Shiriki nami tumuabudu
Acheni Yesu, abaki Yesu
Kama ni mimi naimba kuna Mungu tu
Acheni baba, aitwe Baba
Kama ni mimi nahudumu kuna Mungu tu
Nimeona yale Baba amefanya
Ninainama nimuabudu
Nimeona yale Yesu amefanya
Ninainama nimuabudu
Nimeona yale Baba amefanya
Ninainama nimuabudu
Nimeona yale Yesu amefanya
Ninainama nimuabudu
Na kama bado hujatendewa
Ungana nami amini tu
Na kama bado hujatendewa
Ungana nami siku yako yaja
Usife moyo sababu jirani ametendewa
Usife moyo sababu rafiki ametendewa
Ipo siku yako muujiza na jina lako
Utainama, utainama chini umuabudu
Utashuka na vyote vyako
Utainua jina la Yesu
Hachukui utukufu mtu
Yesu apewe sifa kwa yote ameshatenda
Hachukui utukufu mtu
Yesu apewe sifa kwa yote ameshatenda
Tunamwinua Yesu, tunamwinua
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu, tunamwinua
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu, tunamwinua
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu, tunamwinua
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu juu pekee
Tunamwinua Yesu juu pekee