Mnenge Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Mnenge - G3tta (Tz)
...
its's G3TTA
I'm ready, baby nipe Nile nna mnenge
Kila siku kwangu sherehe,
kwani kua na we kwangu sherehe
I'm ready, baby nipe Nile nna mnenge
Kila siku kwangu sherehe,
kwani kua na we kwangu sherehe
Napokua na we kwangu ni kamshange
Achana na wapambe
Kukupata tu kwamazabe
Acha nijigambe
Nimekamatika ipasavyo
Siku izi nami nala akulavyo
When we together no one cares ata muda uendavyooo
I'm ready, baby nipe Nile nna mnenge
Kila siku kwangu sherehe,
kwani kua na we kwangu sherehe
I'm ready, baby nipe Nile nna mnenge
Kila siku kwangu sherehe,
kwani kua na we kwangu sherehe
Baby nipe Nile nna mnenge ey yeah
Nile nijijenge
Niile Kila pembe ey yeah
Show u all my damn damn thing
Baby nipe Nile nna mnenge ey yeah
Nile nijijenge
Niile Kila pembe ey yeah
Show u all my damn thing
We ndo namba inayofata baada ya tisa
Shepu aisee ni 8 na ndo inayo nipagawisha
Kidume niko ready Kila dakika
When u bend it Ile 7 kama Beckham ndo inankosha
When u shake am
Wanteka
We deka
We cheka gyal
Wanidatisha
When u shake am
Wanteka
We deka
We cheka gyal
Wanidatisha
I'm ready, baby nipe Nile nna mnenge
Kila siku kwangu sherehe,
kwani kua na we kwangu sherehe
I'm ready, baby nipe Nile nna mnenge
Kila siku kwangu sherehe,
kwani kua na we kwangu sherehe