MAZOWEYA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Aah I can't wait kuwaonyesha nachojivunia
Sio kipaji tuu akili kuitumia
Mana navofanya mi huwezi kurudia
Mazoweya siyataki nyie watoto wadogo
Madini yapo mengi babu huwezikunielewa
Ukitaka life yangu babu kweli umechelewa
Kisa size moja ndo unataka kunizoweya
Kisa city moja ndo unataka kunizoweya
Before paparazzi nigga use to call me papa
After paparazzi came everything change
Kudadeki mi nabeba iyi culture
Atuko sawa babu yeah we never be the same
Unyama mwingi sana weekend sionekani
Kijana wa uvira utafikiri mmarekani
Natatuwa shida zao kama vile serekali
Urafiki siutaki nina undugu na hela
Nyao zangu hawapita kiato changu cha jela
Nikipiga vitu vyangu naonekana mi msela
Nakuchana live live nakuvisha na dera
Ukitaka mazowea mikataba na hela
Yeah!! Kisa tuna drip ndo unataka unizoweye
Kisa city moja ndo unataka unizoweye
Kisa we ni boss ndo unataka unizoweye
Ata mimi mi ni boss Kama Brother K Mpopo
Chorus :
Mi sitaki mazoweya
( mi sitaki mi sitaki no no )
Mazoweya !!
(Mi sitaki mazoweya)
Mi sitaki mazoweya
(Mazoweya mazoweya mazoweya mazoweya)
Mazoweya !!
( No no no no)
Mi sitaki mazoweya
(Mi sitaki mazoweya mazoweya mazoweya)
Mazoweya !!
(mi sitaki mazoweya no no)
Mi sitaki mazoweya
( mazoweya mazoweya mazoweya mazoweya)
Mazoweya
(No no no no)
Mi sitaki mazoweya
I'm son of money ukiniona niokote
Snitch huna mana umenipitisha kwa tope
Dili tuko wote umenifanya nisote
Usiku na pambana na pambana nitoke
Kumbe we sigara kali umekwenda na tokeni
Sasa uko happy tumekosa na tonge
Ukileta tena shobo nakupiga risasi
Dili sizitaki nimechana kartasi
Lengo ku make sure my daddy asilipe rent
Japo mipango unafumuwa ili kesho nikose change
Izi dream nita chase adi mwisho kieleweke
Jikoni kuchangamke mamilo apete mchele
So Kama nakudai basi fanya nilipe
Lengo lako kubwa yani mimi nisile
Pesa sizakwangu basi wacha niringe
Usnitch siutaki babu pita nipite
Ndo naanza kukiwasha basi wacha nipike
Najuwa unabana si hautaki nipite
Mazoweya tena noo unaakili za kike
Niko busy nasaka doo nakomaza my mission
Uuh
- Parce que on fait des drill tu me prend si simple.
- Parce que on ai en ville tu me prend si simple.
- Parce que tu es le boss tu me prend si simple.
- Et moi aussi je suis boss comme my brother K Mpopo
Chorus
Mi sitaki mazoweya
( mi sitaki mi sitaki no no )
Mazoweya !!
(Mi sitaki mazoweya)
Mi sitaki mazoweya
(Mazoweya mazoweya mazoweya mazoweya)
Mazoweya !!
( No no no no)
Mi sitaki mazoweya
(Mi sitaki mazoweya mazoweya mazoweya)
Mazoweya !!
(mi sitaki mazoweya no no)
Mi sitaki mazoweya
( mazoweya mazoweya mazoweya mazoweya)
Mazoweya
(No no no no)
Mi sitaki mazoweya