YESU NDIO BWANA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Na hakika sikuzaliwa, ai
kwaajili ya mateso,namini nimejaliwa,ai
Pamoja changamoto lakini bado nipo hai,ai
Namshukuru Mungu moyoni nina furaha, ai
Ooh leo,leo nitaimba kwa furaha, kwa furaha,
Ooh leo, leo nitacheza kwa furaha,kwa furaha,
Ooh leo,leo nitacheza kwa furaha, kwa furaha,
Yeye ananijali,
Yeye ananipenda,
Yeye ananiwazia mema na kunilinda,
Yesu ndio bwana,Sifa kwa yesu ndio bwana,
Nasema yesu ndio bwana ,sifa kwa yesu ndio bwana,
Magonjwa weka mbali,mbali
Laana weka mbali,mbali,
Shetani kaa mbali,twakushinda kwa kusali,Sali,
Kufeli weka mbali,mbali,
Na shida weka mbali,mbali,
Shetani kaa mbali twakushinda kwa kusali ,Sali,
Yeye ananijali,
Yeye ananipenda,
Yeye ananiwazia mema na kunilinda
Yesu ndio bwana,Sifa kwa yesu ndio bwana,
Nasema yesu ndio bwana ,sifa kwa yesu ndio bwana