Kumtegemea Mwokozi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2011
Lyrics
Kumtegemea Mwokozi - Doudou Manengu
...
Nina haja nawe eeeeh
kila saa aaa
haawezi mwingiiiiine kunifaa aaa
Nina haja nawe Eeeh
Kaa nami iii
na maonjo haya aaa hayaui
Yeeesu nakuhitaji vivyo kila saa Aaa
Niwezeshe mwokozi nakujia
Yeeesu (baba) nakuhitaji vivyo kila saa aaa
(Niwezeshe) Niwezeshe mwokozi nakujia
Nina haja nawe Eeeh
kila hadhi iii
Maiisha ni buuure Uli mbali
Nina haja nawe Eeeh
Nifundishishe eeeh
na hadi Zako zifikishe
yeeesu (yesu) nakuhitaji vivyo kila saa aaa
Niwezeshe mwokozi nakujia
Yeeesu nakuhitaji vivyo kila saa aaa
Niwezeshe mwokozi nakujia
Nina haja nawe Eeeh
muweza yoteee
mimi wako kabiisa
Siku zote
nina haja nawe Eeeh
Muweza yotee
mimi wako kabiiiisa
Siku zote
Yeeesu nakuhitaji vivyo kila saa aaa
Niwezeshe mwokozi nakujia
Yeeesu nakuhitaji vivyo kila saa aaa
Niwezeshe mwokozi nakujia
Yeeesu nakuhitaji vivyo kila saa (Niwezeshe Niwezeshe baba Oooh)
Niwezeshe mwokozi nakujia
Yeeesu nakuhitaji vivyo kila saa
Niwezeshe mwokozi nakujia
Niwezeshe Niwezeshe baba Oooh
Niwezeshe Niwezeshe baba oooh
niwezeshe Niwezeshe baba Oooh