Safari ft. Jeremi Balemba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
SAFARI
Safari, safari safari, tumo njiani safarini
Safari ya kwenda mbinguniii, tumo njiani safarini
Safari, safari safari, tumo njia safariiii
Bwana Yesu yupo njiani anakuja kutuchuwa
Jitahidi baba yangu, jitahidii mama yangu, jitahidi kaka yangu, jitahidi tuende pamoja naye.
Eheee
Tumo njiani safariniii
S: safari, safari, safari, safari safari ya kwenda mbinguni
Tuta shangiliya tutakapo fika huko mbinguni kwa Babaaa, tutaruka ruka na kufuriha ukombozi wa Babaaa.
Hallelujah
Tumo njiani safariniii.
S: safari, safari, safari ya kwenda mbinguni, safari, safari
Malaika huko juu, watatukaribisha na Yesu atapanguza macho yote amabayo tumepitia haapa chini ya jua . Tutapewa karibuuu, tutaimba wimbo mupya,tutasifu mwokozii
Tutaketi na mufalme wetu Yesu kristo aaa.
Eheee
Tumo njiani safariniii.
S: safari,safari, safari ya kwenda mbinguni kwa Baba, hapana kulala na kuchoka njiani ndungu yangu, twende tu mulaki Yesu hewani, safari, safari, ingawa shida matatizo wewe simama, tumo njiani