TUNALIA BABA (Official Audio) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tunalia babaaa, uchungu mwingii,
Tunalia babaaaaUme mchukuwaaa
Mwenzeetu tunalia babaaaaaaaaaa
Tunalia babaaaaaaaaaaa,
Leo tumeamini mwanadamu aliye
Zaliwa na mwanamke siku zake sii
Nyiingi Yeye Uchanua Kama vile
Mauwaa ukimbia Kama kivulii
Yeye Uchanua Kama vile mauwaa
Ukimbia Kama kivulii hakaii kamwe
Tunalia babaa, tunalia baba
Uchungu mwingi tunalia babaa
[ Hatujaliamiini ]
Umemchukuwa mwenzeetuu
Eee YesuuuTunalia babaaa
Yeesu ni vigumu kupangua upangachoo
Eaaaaaa Kibinadamu ni ngumu kuaminii
Kibinadamu tunaumiaa marafiki zakee
Tunalia wazazi wakee wanaliaa na ndugu
Zaake wanaliaa baba baba mmm Mapenzi
Yako yanabaki kusimaa baba Tunalia, oh
Tunalia Jina lakoo litukuzwe mapenzi
Yako yatimizwee
Tunalia babaaa, uchungu mwingii,
Tunalia babaaaa Umee mchukuwaaa
Mwenzeetu tunalia babaaaaaaaaaa
Watoto wamebaki yatimaaa
Tunalia babaaa, oh tunalia
Tunalia babaa uchungu mwingii,
Tunalia babaaaaUme mchukuwaaa
Mwenzeetu Tunalia babaaaaaaaaaaa,
Aaaa ni kweli maji yakimwagika hayazoleki
Tena Aaa neno la Mungu limesema kwamba
Mwanadamu aliye zaliwa na mwanamke siku
Zake sii nyingi mimi na wewe tutengeneze
Njia zetu maana Duniani sisi ni wapitaji
Haijalishi gorofa unazo haijalishi ma gari unazo
Lakini jua sisi wanadamu ni mavumbi na neno la
Mungu linasema mavumbi yatarudi mavumbini
Basi ndugu yangu yaandae maisha yako vema
Maana neno la Mungu yamesema walio kufa katika
Bwana wataishi milele
Neenda salama Neenda Salaama,
Tunalia babaaa, uchungu mwingii,
Tunalia babaaaa Ume mchukuwaaa
Mwenzeetu tunalia babaaaaaaaaaa
Tunalia babaaa, uchungu mwingii,
Tunalia babaaaa Ume mchukuwaaa
MwenzeetuTunalia babaaaaaaaaaaa,
Tunalia babaaa, uchungu mwingii,
Tunalia babaaaaUme mchukuwaaa
Mwenzeetu Tunalia babaaaaaaaaaaa,
Neenda salama Neenda Salaamaaa.
Thanks for listening leave your comment down