Loading...

Download
  • Genre:Alternative
  • Year of Release:2023

Lyrics

FAR - Harrytones

...

Naishi tu kutafuta mie

ili nawe kesho usiumie

Haya yote ninayo pitia

Naona kesho yatajishia

Haijalishi ni muda gani

Yatachukua

Au magumu gani mimi nitapitia

Usije n'choja

Kiutani mie nikaugulie

Usije nchonja mimi

shimoni mie nidumbukie

Usije n'chonja

kitanzi mie nijiweke

usije n'choja mimi

wathamani mie nijiondokee

Usije n'chonja

Ona nitakupenda wewe tu

Ona nitaishi nawewe tu

Sema nitakupenda wewe tu

Sema nitaishi nawewe tu

Mi nishazama mazima nakutoka kwako mi siwezi

Iwe misemo vicheko matusi mi vyote mi siwazi

Nitakuhangaikia nitakuletea

na vyote nitakupa

nitakuhangaikia nitakuletea

navyo nitakupa

Haijalishi ni muda gani tutapitia

Au magumu gani yote yata tujia

Usije n'chonja

kiutani mie nikaugulie

usije n'chonja

shimoni mie nidumbukie

usije n'chonja

kitanzi mie nijiweke

usije n'chonja

wathamani mie nijiondokee

usije n'chonja

Ona nitakupenda wewe tu

Ona nitaishi nawewe tu

Sema nitakupenda wewe tu

Sema nitaishi nawewe tu

Nitakupenda tu wewe

Dunia nzima niwewe

uko pekee mwenyewe

Haya Aaya

Na mwisho ndio wewe

Nandoto yangu niwewe

hivo usiende mbali mbali baby

hivo usiende mbali baby uuh

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status