Naanza Nae Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Naanza Nae - Gayani Mwansasu
...
Mlipotuacha ametutafuta
Mlituacha gizani,mnatuona nuruni
Mmeng'ang'ana, ng'ang'ana nyie kuharibu majina
Amepambana pambana Mungu,kailinda hatima
Naaanza nae,naanza nae eeh!
Naanza nae,naanza nae eeh!
Wanashangaa wanaulizana,huyu niyule wajana au wanafanana
Mimi niyuleyule, mliyeniacha kule
Mlifunga njia, tumetangulia
Mimi niyuleyule ,mliyeniacha kule
Amenikumbuka namimi
Mimi niyuleyule,mliyeniacha kule
Mungu hapangiwi muda nawao
Mungu hapangiwi wakumwinua aah!
Nina muda wangu,nina neema yangu
Ya mungu hayatabiriki,mnaemuona wanini,kwake wathamani
Yani Mungu.......mungu
Naanza nae,naanza nae eeh!
Naanza nae,,naanza nae eeh!
Wanashangaa wanaulizana
Huyu niyule wajana au wanafanana
Mimi niyuleyule, mliyeniacha kule
Mlifunga njia,tumeyangulia
Mimi miyuleyule ,mliyeniacha kule
Amenikumbuka namimi
Mimi niyuleyule, mliyeniacha kule
Mimi niyuleyule ,mliyeniacha kule
Amenikumbuka namimi