Thamani ya Mama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Thamani ya Mama - Isha Mashauzi
...
queen of the best Melody
mama umenipa radhi inifae katika dunia kuishi na nyinyi kazi oooh
bi rukia umenipa radhi inifae katika dunia kuishi na nyinyi kazi
ubinadamu kwenu umepotea na Hilo nimeshalitambua
nyie wenzangu mmekosa radhi za wazazi waliowalea kufanana hatuwezi japo hamuishi kuniongelea
thamani ya mama haifanani na almasi mama amenipa mie maneno ya hekima niweze kuishi na hata wale wasabasi radhi ya mama kuikosa usiombee wewe
utamtafuta mchawi msamaha ukamuombe wewee mama afanani na fedha Katu Wala alamas ukikosa radhi hata mungu akupi thawabu weee
napitia migongano na nyingi changamoto Katy radhi ya mzazi alipwi na mtoto
radhi ya mama kuikosa usiombee wewe
nyayoni mwa mama zetu ndo maskani ya pepo na hii nikwa ajili yetu mama Hana malipo
hii ni kwa ajili yetu mama Hana malipo
wamama hawawi wawili hata vitabu vinatueleza Kama yupo basi wa hiari ni mzazi si wa kumpuuza
ukikosa radhi si mpka uokote makopo ukikosa radhi si lazima useme njiani peke yako
kitiikio
naampa heshima mama angu Kama hii ndo sheria muheshimu mama eeh mama Ni mama igeni mfano wangu nanyi itawasaidia mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone Nami nimnimeshaona baadhi ya Mambo