Taa Ya Miguu Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Taa Ya Miguu Yangu - Nancy Hebron
...
Mwokozi Yesu taa ya miguu yangu, yeye ni baba taa ya Miguu yangu, yeye ni Mungu, taa ya miguu yangu.
Wacha ni kweleze juu ya ukombozi wangu anaitwa Yesu ndie mwana wa Mungu aliniita siku nyingi ikumwelewa, sikuelewa sauti yake baba. nilipoteza muda mwingi kwa shetani lakini Yesu kanitoa kule kuzimu nakuningazia na nuru yake, namtukuza yeye nimepata Yesu wa kweli.
Mwokozi Yesu taa ya Miguu yangu mwokozi Yesu taa ya miguu yangu yeye ni baba taa ya miguu yangu, yeye ni Mungu taa ya miguu yangu ×2.
Amenitoa kwenye mateso mengi, amenitoa kwenye gareza la dhambi amenifuta jina langu kwenye hukumu nakuliandika kati ya wenye haki. bila makosa katoa uhai wake, alinifia ilinitengwe na shetani kupitia wokovu wake Yesu wa kweli.
Mwokozi Yesu taa ya miguu yangu yeye ni baba taa ya miguu yangu ×2.
Ndugu wajua pale unapookoka unamnyangaya shetani maisha yako, na maisha yako unampa Mungu fanya maamuzi haya mazuri leo, yupo mlangoni anabisha hodi anakuita akuitaji wewe mpe maisha yako akuookoe ili uurithi uzima wa milele.
Mwokozi Yesu taa ya miguu yangu x2 yeye ni baba taa ya miguu yangu, yeye ni Mungu taa ya miguu yangu. ×2
Mpokee sasa kwakua anakupenda na anakuitaji ili uwe huru na kuurithi uzima wa milele, Yesu ni mzuri, Yesu anaweza, sema:"Eeh Yesu nisamehe dhambi zangu uniandike mimi kwenye kitabu chako cha uzima na wewe uweze kuangaza maisha yangu kwakua wewe ndiye taa ya miguu yangu Amen."