Isiwe Tabu Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Isiwe Tabu - Paradise Tabasamu
...
mbaramwezi waka
kwenye upendo wangu
uluoshamili giza nene
yamenifika hapa
kwa huyu mwenzangu atanashindw
sijui nini nisemee
mi nawivuu uuh
anaelewa ndo maan ananitesa
kutwa gubu uuh
na kunipa maumivu
ma presha presha
ipo siku tuu yatatoweka
yote maheka heka
aaah mwenyezi juu anaonaah
isiwe tabu
ukipenda uwende
ukipenda urudi sawa tabu
aya yote ni majalibu
napitia najua tabu