Neno Moja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Neno Moja - Musa Shabani
...
Neno moja nimelitaka kwa Bwana
Nalo ndilo nitakalo kulifanya
Siku zote za uhai wa maisha yangu
Neno moja nimelitaka kwa Bwana
Nalo ndilo nitakalo kulifanya
Siku zote za uhai wa maisha yangu
Nikae nyumbani mwake
Nikitafakari Neno lake
Kwani ndilo liniongozalo
Katika njia ya haki yake
Nikae nyumbani mwake
Nikitafakari Neno lake
Kwani ndilo liniongozalo
Katika njia ya haki yake
Neno lako Ee Mungu wangu
Ndio taa miguuni pangu
Laniongoza kila nipitapo
Linaniepusha nisitende dhambi
Neno lako Ee Mungu wangu
Ndio taa miguuni pangu
Laniongoza kila nipitapo
Linaniepusha nisitende dhambi
Nikae nyumbani mwake
Nikitafakari Neno lake
Kwani ndilo liniongozalo
Katika njia ya haki yake
Nikae nyumbani mwake
Nikitafakari Neno lake
Kwani ndilo liniongozalo
Katika njia ya haki yake
Nikae nyumbani mwake
Nikitafakari Neno lake
Kwani ndilo liniongozalo
Katika njia ya haki yake
Nikae nyumbani mwake
Nikitafakari Neno lake
Kwani ndilo liniongozalo
Katika njia ya haki yake