Haleluya Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Haleluya - Magreth W. Magenda
...
mmmh haleluya hehehehehe haleluyaaaa haleluyaaa haleluyaaaaa
(haleluya nafsi yangu umsifu bwana
nitamsifu bwana muda ninaoishi
nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai(mimi ningali ni hai)
nimependezwa na ukuu wake)×2
shibobobooo yeyeee haleluyaa ooooh ooooo baba eee baba ooooo
(heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake eeeeee na tumaini lake ni kwa bwana Mungu wake aliezifanya mbingu na nchi bahari na vitu vilivyomo uhimidiwe yaweeee yaweeee)×2
Heeeeeeeee ooooooooo nani kama bwana hakuna kama Yesu yoyooooo oooooo
(Huwafanyia hukumu walioonewa huwapa wenye njaa chakula bwana hufungua waliofungwa bwana huwafungua macho waliopofuka bwana huwapenda wenye haki )×2
heeeeee heeheee huwafinyiiiia nakupenda Yesu nakupenda Jehovah
Bwana huwahifadhi wageni huwategemeza Yatima na wajane mali pia ya wasio haki huipotosha bwana atamiliki milele Mungu uwaokoe Sayuni kizazi hata Kizazi eeeeeeeeeeee
Bwana huwahifadhi wageni
huwategemeza Yatima na wajane mali pia ya wasio haki huipotosha bwana atamiliki milele Mungu uwaokoe Sayuni kizazi hata Kizazi
Yeye Ni Bwana hakuna Kama Yeye ooooooo ametukuka nani kama Yesu hakuna kama Bwana Wewe Ni Mungu hakuna kama wewe (anaweza)
(Huwafanyia hukumu walioonewa huwapa wenye njaa chakula bwana hufungua waliofungwa bwana huwafungua macho waliopofuka bwana huwapenda wenye haki )×2
oóóooo ooo bwana eeeee haleluyaaa hakuna Kama Yesu Hakuna kama wewe hakna kama bwana hakuna kama Yesu Nakupenda ahsante Yesu
(huwafanyia hukumu walioonewa
huwapa wenye njaa chakula bwana hufungua waliofungwa bwana huwafungua macho waliopofuka bwana huwapenda wenye haki)×4
huwafanyiiia