Wowowo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Wowowo - Zaiid
...
Uuuuhhh uuuuuuhh
*********
Figa uonekana hata kwenye baibui,
Mchovu akipewa ilo zigo hainui,
Chungu cha moto bila fundi hauipui,
Wachina wanaleta mbolea haujui,
Mi nalipenda likiwa so Natural,
Au likizungushiwa mikogo ya Khanga so cultural,
Mchizi nakuwa busy ni vile Babiloni nasuuzwa mwili macho doooo hadi Oooooh damnnnn,
Bonge la kalio mapedeshee wanamwaga bonge la salio,
Natetema mwili likitingishikaga na siendi mbali kama likikatishaga.
********
Wowowo
Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa Wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama Wowowo
Sura hata mbuzi anayo ila sasa Wowowo
Hata ujirembe vipi si tunatazama Wowowo