Checkpoint 1 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Checkpoint 1 - Obizo wizzy
...
Worldwide
Wizzy...
Aaaanh..
Umri nao mdogo na nina ndoto ya kwenda global
Ila kwa hili soko bongo siweai pata tobo
Kuchana sana unyama ni kujipa tu kisogo
Man wana hawana mana wanataka ligi ndogo
Vyuma vumekaza havilegei hata kwa gready
Na wana wanakaza hawagey kama pisi
Kuna vitu vinashangaza kuona waliopo kwenye chati
Wanaojua sana hata nafasi hawapati
Chimbo zipo nyingi ila jela weka pending
Ukiniona hata siringi me navheka tu na wengi
Maisha fulani ya kiki ndo yanafanya wanatrend
Si wengine mashabiki tunataka vitu more standing
Kichwani nimejaza sifa za weledi
Nikiona hamsomeki am just speak in ma word
Niggas never fake ata akifake just for the babies
Na roll kwanza weed then na fuck them ladies
Tatizo hujaga pale tukipata naaa
Ukienda nae ghetto na ukashindwa fika far
Wengine tuko blessed ni wembamba ila balaa
Asa we jichanganye nakufua nakuvaa.
Since tukisaka kusikika on air
Habari za kiwaki hatutaki hata kushare
Masnitch pole sana na nakosa cha kuwaambia
Na simu za mahaters sitokuja kupokea
Local to worldwide bado nasebenza
Life limekaza mwenyekiti kauza meza
Ukiona ka haupandi unatikiwa kujiongeza
Kupaka vitu vingi ni ushauri kutoka angaza
All the time sisomeki, nikipita sielweki manukato airfresh bring-bring vitu safi
Kuna vitu kudadeq vinafanya mi sicheki kama pisi za mtaa wa kati
Hupigi show bila kaki
Maji siyataki sitaki habari za kigosi
Am proud kuwa black is too luck and blessings
Yangu mitikasi iko kasi sio less
Ukitaka nipe pasi nikutaje kwenye verse
Habari za kiwaki home staki tupa kule
Ukiona sieleweki dont stick rude shule
Mwanaume nyonga suti demu nyonga kiune tule
Ukiona sikufikishi jifariji na kidolee
Flow ndo kama hizo zinafanga nipate dow
Wanyama wana hifadhi ila huwezi wakuta store
Bahasha za kaki siwezi wekea madow
Na pesa naweka bank siwezi weka kwenye troo
Time nimechill me ninawaza get meals
Maisha big deal kama mbongo kuishi real
Trap nishakill now nawaza nifanye drill
U know what i feel ndani ya beat ya doctor drill
Siwezi fungua zipu kwa mademu cheap-cheal
Picha za lokii tunapiga juu ya jeep
Hyper gani mwenye page za udaku
Mbona hatukusomi We lokole au mwijaku
Mwanangu juzi kuna demu kani DM
Baada ya kupost ile picha nipi gym
Mwili ulivokata akapandwa na wazimu
Now nipo nae namrambisha big bom
Mwanaume msaka pesa huwezi like sex chat
Kwanz yote tisa huwezi kosa noti
Nikuite mnyamwezi eti kisa photoshoot
Siwezi huo ushenzi yani wewe ni amber ruuuuut
Picha nazo kali nikipata nina post na
Loc za hatar sio beach wala posta
Nikishea link mara moja ni makosa
Yani kama binti npo kwenu nakupisa
Aaaaaaanh....
Young finest rapper
Obizo wizzy......
Fine boy....
Local to worlwide
Lyrics:Fanmade by(Mweusi gamer Tz)