Shubiliga ft. Gilad Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Shubiliga ft. Gilad - Azma Mponda
...
love is beautiful
Everything was seen
Tambua kuwa moyo mashine
kitendwa usitende mwingine
mshumaa upendo sizime
Kesha ni siku nyingine
umenivumilia kwa mengi sana
umenifungulia mapenzi mama
Milele ntakuenzi kama
Ni mtumwa wa mapenzi sawa
Wala sikatai nimenawa
Umenifanya nafurahi napagawa
mtoto umemweka kila idara
Kwako nimefika Niko imara
Hakika umenifunga minyororo
Ni vyema tukachunga migogoro
Haifai
Tunawapa majirani faida
Walai
Sikupenda kuzaliwa na shida
Subirigash
Subirigash
Never give up
Kesho ni siku nyingine
Kesho utaona kitu kingine
Kesho ni siku nyingine
utapenda kitu kingine
Watawakashifu wakishawajua
Hakuna mkamilifu China ya jua
Shumiligash
shumiligash
shu shu shu
Never give up
Tambua kuwa moyo mashine
Kitendwa usitende mwingine
mshumaa wa upendo sizime
kesho ni siku nyingine
Pliz baby baby pliz get ready
pliz siende juu shuka chini unavyoshaky
Maneno ya kutua kwenye kinywa wasituseti
Nipe first a. d we nail first Lady kila napokwenda we ndio dealer we ndio ficient
Tunaweza kucheza bila mpira tukiwa na mission celebration bila jam
penetration bila firm
Kila siku Sina zam
Huwa siishiwi ham
We ni gift kwenye lyf
NTS guarantee nkufanye kuwa my wife I gonna see
High ni Baraka za Manga na sio bahati
we nchuki na majungwa unapoteza wakati
Shubiligash
shubiligash
shu shu shu
never give up
mpenzi we utapenda
Haruka mkamilifu chini ya jua
shubiligash
shubiligash
shu shu shu
never give up