Chuga Hio ft. Rayvanny Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Chuga Hio ft. Rayvanny - Fido Vato
...
........
Noise R chugaaa
.........
chuiiiii
vanny boooy
vany boy
huku pombe ya bei rahisi unalala
tumeshazoea misala
kila mtu mafia usichimbe mikwara
kaskazini hatokagi fala
oooooh
chuga io chuga io
chuga io chuga io
ukiona barate kankuli
ujue chuga io chuga io
masendeu migoroli
Ooh chuga io chuga io
buti kubwa na boshori
ujue chuga io chuga io
iyo Ni mori haina wori
harakati za kima kaveli
kitu cha bobu moshi mineri
chuga hippop sio singeli
RIP father neli
nimezaliwa kuwa fighter
sasa lete wenge ntakufraisha
kidume ntakufanya DADA aisha
Nikiwa ololoo Ni kama tu nko jamaica
mkiniona wote MAIGE shikamoo
wanangu mamongoo sio Hao wapolooo
picha zangu kwa bajaji paka huko kariaKoo
nawachinja ma MC kama beto Kwa jogoo
yiii
wanangu wa mianzini ngaleloo
oya babaaa
ngarenaro matejoo
oya babaaa
kijenge kwa mromboo
oya babaaa
majengo ya chinii ololoo
huku pombe ya bei rahisi unalala
tumeshazoea misala
kila mtu mafia usichimbe mikwara
kaskazini hatokagi fala
oooooh
chuga io chuga io
chuga io chuga io
ukiona barate kankuli
ujue chuga io chuga io
masendeu migoroli
Ooh chuga io chuga io
buti kubwa na boshori
ujue chuga io chuga io
iyo Ni mori haina wori
wakati mnajipodoa kina WITNESS ANZAMENI
chuga Pisi kali zinawaza busness
ukimuonga demu hela anunue range
ananunua IST abaki Na chenji
kidume ukikataa kibendii
UKIWA legelege unachezea makwenzi
usihofu baaridi tunapata joto kupitia mazigii
Mmea toka shamba la bibi
kingstone smokE moshi moshi maweedi
ssssssh
mapenzi hawafikiriii
wadada wa chuga wakiachwa hawaliii
Ety unamblok IG
apandi bp utamaliza MB
we cheza Na kila sekta ya mfumo
chuga cheza Na PESA wanakuvunja kiuno
kaa humoo
huku pombe ya bei rahisi unalala
tumeshazoea misala
kila mtu mafia usichimbe mikwara
kaskazini hatokagi fala
oooooh
chuga io chuga io
chuga io chuga io
ukiona barate kankuli
ujue chuga io chuga io
masendeu migoroli
Ooh chuga io chuga io
buti kubwa na boshori
ujue chuga io chuga io
iyo Ni mori haina wori
........
oya baba
oya baba
oya baba
THE fex ON THE beat
.........
diktaches oN THE mix
oooooh
chuga io chuga io
chuga io chuga io
ukiona barate kankuli
ujue chuga io chuga io
masendeu migoroli
Ooh chuga io chuga io
buti kubwa na boshori
ujue chuga io chuga io
iyo Ni mori haina wori