Mtakatifu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Mtakatifu - Frank KE
...
Sitaabudu miungu mingine
Iliyo na mifano yeyote
Sitapiga magoti yangu niisujudu
Nitakusanya sadaka zangu ziwe manukato
Kwa Yesu astahili sifa
Naleta sadaka za sifa kwako Bwana
Heshima na mamlaka zipokee
Mtakatifu mtakatifu, nakuita mtakatifu
Oh Yesu wewe mtakatifu
Pokea sifa, na utukufu
Na heshima, Bwana
uuuh, uuuh, oooh yesu wewe mtakatifu
Naleta sadaka za sifa kwako Yesu
Ooh Yesu wewe mtakatifu
ooooh
Naleta sadaka za sifa kwako Bwana
Heshima na mamlaka zipokee
Mtakatifu mtakatifu, nakuita mtakatifu
Pooh Yesu wewe mtakatifu