Dede Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Aha ni kama kinda
Nyie baby wangu anadeka
Siongopi aha nampenda
Na ye ndo tiba
Homa za mapenzi pressure
Kikohozi ihi aha anayaweza
Anakila nachotaka nikitaka ananipatia
Nina kila anachotaka akitaka nampimia
Sura ya mama shape kalio
Hana malingo pesa anayo
Hana dogo ananipenda
Simama dede mi nataka tucheze
Simama dede basi inuka wakuone
Simama dede wewe wa kwangu
Simama dede basi inuka wakuone
Kama anasusa kumbe ndo anataka
Kama hataki kumbe ndo anataka
Kama hana meno kumbe ndo anang'ata
Na kama soda basi ye ni fanta
Anakila nachotaka nikitaka ananipatia
Nina kila anachotaka akitaka nampimia
Sura ya mama shape kalio
Hana malingo pesa anayo
Hana dogo ananipenda
Simama dede mi nataka tucheze
Simama dede basi inuka wakuone
Simama dede wewe wa kwangu
Simama dede basi inuka wakuone