Tamu Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Tamu - Robby Vibe
...
aaaah we mama bailando
umeniweza mamaa
mmh,,mi sina jambo,.ila unanipa furaha
na unavyonipa mambo
mi ndio napagawagaa
yamenishinda mabango
kwako ndio nimedataa
mmmh,,na nnajutaa
nachelewa kukujua
maana nimeshtuka
yapo mengi unajua
kama baridi mi ndio shuka
takulinda kwenye mvua
maana nimeshtuka
kwa mapenzi unajua
tamuu. ×8