Nipo Nipo (I Swear) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nipo Nipo (I Swear) - DiDi
...
INTRO
Ooh yeeh...they call me DiDi
now I made this song for you baby!
VERSE I
Mwenzako bado nipo baby ooh yeeh
Sina makasiriko my dear I swear
Mimi nipo nipo mubebe ooh yeah
Sina makasiriko my dear I swear
Ukichoka ulikokwenda utanikuta mimi nipo
Na jogoo nitalichinja unywe mchuzi wa moto moto
Mwezio nilisusa tu kukuacha siwezi
Mwenzako nilikutisha tu kukuacha siwezi
Yule rafiki yako wa kazini
Mwenye komwe kama nini
Kapiga simu jimboni
Alinikera shuwaini (eeh)
Akaniambia shemeji meji
Eti una kipaji paji
Niachane nawe jambazi mbazi
Umenigeuza mutaji taji
CHORUS
Nikamjibu 'tokaaa'
Ooh yeeh!
Nikamwambia 'we koma'
Oooh yeeh!
Nikamjibu 'toka hapa'
Eeeh!
Nikamwambia 'we koma'
VERSE II
Basi rudi uje nikuone baby
Si unapenda ndoa eti ukuje nikuoe sweetie (eeh)
Basi rudi uje unione baby
Si unapenda mtoto eti nikupe kamimba ndindii
Baby si utanipea utamu si utanigea
Baby si utanipea si ulisema utanigea
Ila rafiki yako wa kazini
Mwenye komwe kama nini
Kapiga simu jimboni
Alinikera shuwaini (eeh)
Akaniambia shemeji meji
Eti una kipaji paji
Niachane nawe jambazi mbazi
Umenigeuza mutaji taji
CHORUS
Nikamjibu 'tokaaa'
Ooh yeeh!
Nikamwambia 'we koma'
Oooh yeeh!
Nikamjibu 'toka hapa'
Eeeh!
Nikamwambia 'we koma'
OUTRO
'si utanipea...si utanigea'
Baby si utanipea si ulisema utanigea
Written by DiDi