Umechoka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Umechoka - Lexx Kinyua
...
Hmmmm Lexx
Uoooooh
Kila mtu anakosa
Hakuna mtu aliye perfect Ma
Hmm
Yeah
Unasema umechoka eti umepoteza masaaa
Ni mimi wako baby, nakupenda
Usiseme umekosa, kwani baby hio ni balaa
Ni mimi wako baby, sina pa kuenda
Nakama si wewe basi nani,
Ni wengi nimepata mi siwajali
Rudi mpenzi usiende mbali
Ahaaaaa
Na kama si wewe basi nani
Ni wengi nimepata mi siwajali
Hii si vako we ni wangu na mi ni wako
Kila mtu anakosa hakuna mtu aliye perfect ma
Kila mtu anakosa hauwezi pata mtu perfect ma
Hio ni hali ya maisha unakosea Kesho unarekebisha
Hio ni hali ya maisha unakosea kesho unarekebisha
Ni kweli tumeteteshana,
Ni kweli tumetukanana
Nikweli tumeenda tukapata wengine lakini bado
Ni kweli tumeteteshana,
Ni kweli tumetukanana
Ni kweli tume go tukapata wengine lakini bado
Nakama si wewe basi nani
ni wengi nimepata mi siwajali
Rudi mpenzi usiende mbali
Ahaaaaa
Na kama si wewe basi nani ,
ni wengi nimepata mi siwajali
Hii si vako we ni wangu na mi ni wako
Kila mtu anakosa hakuna mtu aliye perfect ma
Kila mtu anakosa hauwezi pata mtu perfect ma
Hio ni hali ya maisha unakosea Kesho unarekebisha
Hio ni hali ya maisha unakosea kesho unarekebisha
Ni kweli tumeteteshana baby,
ni kweli tumetukanana daily
Ni kweli tume go oh lakini bado
Ni kweli tumeteteshana baby
ni kweli tumetukanana daily
Eeee lakini bado
Kila mtu anakosa hakuna mtu aliye perfect ma
Kila mtu anakosa hauwezi pata mtu perfect ma
Hio ni hali ya maisha unakosea Kesho unarekebisha
Hio ni hali ya maisha unakosea kesho unarekebisha
Unasema umechoka eti umepoteza masaa,
ni mimi wako baby nakupenda
Kila mtu anakosa.