Leteni pombe Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2023
Lyrics
Eiih Cheki ni Mbichi Mbaya
Kwenye mic kama hunijui
It's Lée Baba on the trackk
Chorus
Leteni pombe
Leta pombe
Weee siulete pombe
Ninini ahhh leta pombe
Sisahau chrome
Kwanza keg
Na hiyoo mzinga
Boss utaleta pombe
Verse one
Ni Friday na form imejipa
Nimelipwa so mambo Iko shwari
Mamaa karibia karibia
Ju lazma kuwake Ile vibaya
Ukiskia unataka kurefill
Promo code sema Mbichi Mbaya
Boss Dem wako Leo ni wangu
Nimembook so Kaa kwako
Spending spending pesa ni yangu
Plenty plenty yote ni yangu
Udafa'didi?
Chorus
Verse two
Kiburi nimekuja nayo niya end month
Promax naeza hatakukutusi
Leo ni vienyeji wanizunguke
Sitaki madiva Hawajui kutingisha
Unajua nikishalewa mi huongeanga in tongues
Karibia karibia customer
Waiter waiter infact Kila Mtu aongezwe nyama
Mtaka yote hupata Bora akona pesa
Follow the leader leader leader
Follow the leader
Nani anataka kulewa
Nani analewa
Nani nani Hugo Bado haja lewa
Nani hajalewa
Chorus 2 times
Pesa yote nimeingia nayo hapa
Ndani lazima iiishie Hapa ndani
So mkunywe ,mlewe mjazane
Mambo ya Kesho