Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Yeah


We miss you daddy

Rest In Peace


It's been a long time

Tangu nimekuona


Hapa na wish ka ungesema neno nikapona

Moyo unaniuma


Nafsi inasonona

Ila sina budi namshukuru maulana na upumzike pema


Ulichomwa na juwa

Ukanyeshewa na mvua


Ulipitia mateso ukanikuza nikakua

Starehe hukuzijua


Ukitutafutia

Leo


Familia inalia na tumekumiss pia

Maisha bila wewe hayawezi kuwa sawa


Japo tunapata riziki wewe ungetupa power

Vikwazo ungetuvusha


Ungetuweka sawa

Maana kuna matatizo we pekee ndiyo dawa


Najitahidi kumfuta chozi

Mama hasilie


Wadogo zangu nawadanganya utarudi watulie

Walimwengu wanatuandama kisa mali zetu sie


Kweli kifo fumbo kubwa leo unafanya tuliye

Tuliyeeeee

Tuliyeeeee


I miss you

Daddy I miss you

I miss you

Tunakupenda sana


I miss you

Daddy I miss you

I miss you

Tunakupenda sana


Leo kimwili haupo nasi ila kiroho tupo wote

We kwangu ni baba bora haukukubali tuanguke


Ulijinyima vyote haukutaka tuteseke

Daddy Rest in Peace tunakuombea siku zote


You were the best friend,

The one of a kind


Mjuzi wa malezi wala haukupretend

Haukutaka kutrend


Haukupenda tuwe wrong

Ailaze palipo pema roho yako sir God


My mom is proud of you

Umemuachia jembe mwenye IQ like you


I do remember that life with you

Na ya sasa haiko sawa that's why


We miss you

Najua


Siku itafika tutaonana

Maana we wa kwanza unayetutakia mema


Pokea salamu zetu wanao na mama

Na ikawe na roho yako daima amani ya bwana


I miss you


We miss you


Daddy

I miss you

Daddy i miss you

I miss you

Tunakupenda sana


I miss you

Daddy I miss you

I miss you

Tunakupenda sana


Yelele

Yelele baba

Yelele

Yelele baba

Yelele Yelele

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status