Ushaniteka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Oooh
Eeeh
Wo-woh
Mmh mmmh
Uuuuh yee
Iye iye
Baby nikumbate
Nikiss mdomoni
Penzi letu sio siri acha watuone
Kimfaa mtu chake
Nishakuweka moyoni
Wanoko mahasidi acha waisome
Nishakupa moyo wangu
Ukiondoka nitalia
Mi ni wako, kwenye shida kwenye raha
Ukiniacha peke yangu kabisa mi nitalia
Nifanye niwe wako kwako nimezama
Mwenzioo (aaah)
Umenizidi mabavu (aaah)
Umeniita nije mwenzio (aaah)
Umenishika nyota angu (aaah)
Oh!
Yani we ushaniteka (teka)
Kwa mahaba baby ushaniteka (tekaa)
Baba wee, eh, ushaniteka (tekaa)
Leo mimi ushaniteka (tekaa)
Baba wee, ushaniteka (tekaa)
Kwa mahaba baby ushaniteka (tekaa)
Baba wee, ushanitekaga (tekaa)
Na mahaba mi ushanitia kamba (tekaa)
Mwenzioo
Mmmh, ah!
Usinifanye big gee
Ukanitafuna ukanitema
Ukaniacha kwa baridi nikabaki dilemma
Mi mwenzako sisikii maneno wanayosema
We ndo wangu wa V.I.P mwingine sitaki tena, ah
Eti, hivi nikwite nani?
Khabibi kipenda roho
Jina gani tena napo?
Litakuvutia
Wangu wa ubani
Mi amore Mi amore
Sugar honey sweety
Ama nikwite dear
Mwenzioo (aaah)
Umenizidi mabavu (aaah)
Umeniita nije mwenzio (aaah)
Umenishika nyota angu (aaah)
Oh!
Yani we ushaniteka (teka)
Kwa mahaba baby ushaniteka (tekaa)
Baba wee, eh, ushaniteka (tekaa)
Leo mimi ushaniteka (tekaa)
Baba wee, ushaniteka (tekaa)
Kwa mahaba baby ushaniteka (tekaa)
Baba wee, ushanitekaga (tekaa)
Na mahaba mi ushanitia kamba (tekaa)
Mwenzioo
Nishakupa moyo wangu
Ukiondoka nitalia
Mwenzioo
Umenizidi mabavu
Umeniita nije mwenzio
Umenishika nyota angu