Bado Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Tumetoka mbali sana
Mimi na yeye
kwenye mapenzi
Tulikutana
Kwa bahati
Tukapendana kirafiki
Baadae tena tukashibana
tukapenda kama wapenzi
Ndomaana bado
Nampenda
Ndomaana bado
Niko naye
Anavyonipa
Sio mchezo
Amani,furaha
Mapenzi tele
Ndomaana bado
Nampenda sana
Ndomaana bado
Niko naye